Mbunge wa
mbozi magharibi GODFREY ZAMBI ameshinda kwa kishindo nafasi ya mwenyekiti ccm
mkoa wa mbeya.
Nafasi hiyo
iliyokuwa ikigombaniwa na watu wane akiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa ccm wilaya
ya mbeya mjini ALANI MWAIGAGA lakini pia mwenyekiti wa vijana wa mkoa mstaafu
REJINAL MSOMBA na PRINS MWAIHOJO
Uchaguzi huo
nusura uingie kasoro mara baada ya baadhi ya mashabiki wa wagombea kuaanza
kuzichapa kila mmoja akimpigia kampeni mtu wake
Matokeo ya
uchaguzi yalikuwa kama ifuatavyo
GODFREY
ZAMBI KURA 888
ALANY
MWAIGAGA KURA 318
MSOMBA KURA
237
PRINS
MWAIHOJO KURA 11
WANACHA WA CCM WAKILETWA TOKA WILAYANI KUJA KUCHAGUA MWENYEKITI WA MKOA WA MBEYA
WANACHAMA WA CCM WAKITOA SALAMU KWA VIONGOZI WALIFIKA KATIKA UCHAGUZI HUO ULIOFANYIKA KATIKA UWANJA WA SOKOINE
WAGOMBEA WAKIWATAYARI KUPANDA JUKWAANI KUUZA SERA NA KUOMBA KURA KWA WANACHAMA KUSHOTO NI GODFREY ZAMBI, PRINSI MWAIHOJO, ALANI MWAIGAGA MWISHO KULIA NI REJINAL MSOMBA
WAGOMBEA WAKIUZA SERA ZAO KWA WANACHAMA ILI WACHAGULIWE NAFASI YA MWENYEKITI MKOA WA MBEYA
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ADAMU MALIMA NW WA KILIMO CHAKULA NA USHILIKA AWAASA WAPIGA KURA KUTOWACHAGUA VIONGOZI WALIOWAPATIA RUSWA ILI WACHAGULIWE AKITUMIA MFANO ALIOUTOA RAISI JAKAYA KIKWETE UNAPAMBIWA KITU CHANGANYA NA AKILI YAKO
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS NA URATIBU WA SHUGHURI ZA BUNGE STIVINI WASILA AMEWATAKA WANACHAMA WACHAGUE KIONGOZI ATAKAYEKUWA NA UWEZO WA KUJIBU HOJA ZA WAPINZANI
0 comments:
Post a Comment