Hivi
karibuni inategemewa kubarikiwa kwa ndoa ya SAMU MTELLA mkurugezi wa ACCESS
COMPUTER LTD aliyepo jijini mbeya sherehe hizo zinategemea kughalimu kiasi cha
milioni hamsini na moja laki nane na elfu ishirini.
Katika kikao
cha maandalizi ya sherehe hiyo kimepanga kutumia bajeti hiyo ili kufanikisha sherehe
itakayo barikiwa kijijini kwao huko ILEMBO MBEYA VIJIJINI mnamo tarehe
01/11/2012 na sherehe zitafanyika siku inayofuata katika ukumbi wa mkapa
sokomatola jijini MBEYA.
KAMATI TENDAJI INAYORATIBU SHUGHURI NZIMA YA SHEREHE ZA KUBARIKI NDOA YA SAM MTELLA ACCESS COMPUTER LMD KUSHOTO NI MTUNZA HAZINA MUSAH MNASI KATIBU SINANA OTAIGO, MWENYEKITI FRANSIS MSAI NA MWISHO KULIA NI MAKAMU WA MWENYEKITI SIMON GATUNA
WAJUMBE MBALIMBALI WAKIWA KATIKA KIKAO CHA KUKAMILISHA SHEREHE HIZO
0 comments:
Post a Comment