Pages

Ads 468x60px

Thursday, October 25, 2012

TIMU YA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA NI NGUVU YA SODA N

Mara baada ya kupingwa goli moja na timu ya waheshimiwa madiwan wa jiji la mbeya katika shindano la bonanza lililoandaliwa na life time Entertainment lmd ya jijini hapa  mwashoni mwa wiki katika viwanja vya Lwanda nzovwe timu hiyo imejikuta ikisambaratika na kuacha mazoezi kama walivyojipangia kuendelea kijinoa na kupanga michezo mbalimbali ya kujipima

Wameonekana baadhi ya wachezaji wachache wakifanya mazoezi katika kiwanja cha shule ya msingi Azimio huku wengine wakitokomea kusiko julikana kitu kinachotafsiliwa kuwa ni kusikilizia maumivu ya goli moja walilopigwa na timu ya waheshimiwa hao

Mmoja wa wachezaji tegemeo wa watimu hiyo ambaye hakutaka jina lake litaje alisema wao wataendelea na mazoezi siku hii ya leo alhamisi bila kujari idadi ya wachezaji watakao jitokeza na kutoa wito kwa waandishi wa habari kufika katika mazoezi ili kujenga afya zao pia.



MWANDSHI WA HABARI CHARLES MWAIPOPO AKIONYESHA UMAHIRI WAKE JANA KATIKA MAZOEZI YALIYOKUWA YAKIFANYIKA TIKUWANJA WA SHULE MSINGI AZIMIO





KIPA CHIMWEMWE MAZUNDA AKIONJA SHUBILI YA MASHUTI YA WACHEZAJI KATIKA MAZOEZI HIYO JANA

0 comments:

Post a Comment