Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 1, 2012

AJARI NYINGINE YAUA MBEYA NI KATI YA BASI LA ABOOD NA ROLI LA MIZIGO


Ajari hiyo imetokea jana mida ya saa 1:00 jioni maeneo ya sae maarufu kwa mbilinyi jijini mbeya  iliyolihusisha basi la kampuni ya ABOOD ya morogoro linalofanya safari zake kati ya MBEYA na DAR ES SALAM  na roli la mizigo lilikuwa likitokea jijini mbeya na kuhama upande wake na kulifuata basi hivyo 

kushindwa kulimudu na kuligonga kwa mbele na kusababisha kifo cha mfanyakazi wa basi hilo aliyejulikana kwa jina moja la white pamja na majeruhi ambao idadi yake haikupatikana mapema

Majeruhi wa ajari hiyo walikimbizwa katika hospitali ya Rufaa mbeya pamoja na mwili wa marehemu  
BASI LA ABOOD LILILOPATA AJARI LENYE NAMBA ZA T 5455 AZE

MWILI WA KONDAKTA WA ABOOD ALIYEJULIKANA KWA JINA LA WHYTE WAKIUTOA ENEO LA AJARI


MWILI WA KONDAKTA WA ABOOD ALIYEJULIKANA KWA JINA LA WHYTEUKIWA UMWEKWA KWENYE KARI KWAAJILI YA KUUPELEKA HOSPITALHIVI NDIVYO LILIVYOGONGWA BASI LA ABOOD KATIKA AJARI HIYO


HILI NDILO ROLI LILILOSABABISHA AJARI NA BASI LA ABOOD AMBAPO LIMEGONGA TELA

MWILI WA KONDAKTA WA ABOOD ALIYEJULIKANA KWA JINA LA WHYTE BAADA YA KUNASULIWA KATIKA MABATI YA GARI LA ABOOD

ASIKARI WA USALAMA BARABARANI WAKIWAJIBIKA KATIKA AJARI YA ROLI LA MIZIGO JA BASI LA ABOOD0 comments:

Post a Comment