Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 1, 2012

Kampuni za mafuta zashukiwa


wa Nishati na Maji (Ewura), na Bodi inayoratibu Mfumo wa Uingizaji wa Mafuta Nchini (Pic) kwa kushindwa kuwajibika katika tatizo la ukosefu wa mafuta.

Alisema hakuna sababu za msingi za kuwepo kwa uhaba wa mafuta ya petroli, dizeli na taa, wakati kuna akiba ya kutosha ya nishati hiyo nchini.
Katibu  Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eliakimu Maswi, amezishukia Mamlaka ya Udhibiti
Maswi alisema hayo jana baada ya kuitisha mkutano wa waandishi wa habari kutoa ufafanuzi kufuatia kukosa mafuta katika mikoa kadhaa nchini wakati kuna akiba ya zaidi ya lita milioni 83 za mafuta.

Mkurugenzi wa Petroli Ewura, Godwin Samweli, alisema mafuta yapo ya kutosha, lakini tatizo lipo kwa wenye kampuni zilizopewa leseni za kuuza mafuta hayo nchini.

“Wenye makampuni wanakataa kuwauzia wenye vituo binafsi mafuta baada ya kusikia taarifa ya kukwama kwa meli zinazoleta mafuta hayo nchini,” alisema.








 ZAHAMA HII IMETOKEA JIJINI MBEYA KATIKA HALI ISIYOKUWA YA KAWAIDA MBEYA WAKUMBWA NA JANGA HILI LA KUKOSA MAFUTA HAPA NI KITUO CHA TATOL MAFIATI

0 comments:

Post a Comment