Pages

Ads 468x60px

Monday, May 27, 2013

VIJANA WAASWA KUTAMBUA NA KUTHAMINI VIPAJI VYAO


WASANII WA MAIGIZO WA MKOA WA MBEYA ALIOJITOKEZA KATIKA USAHIRI WA FILAM YA HUMAN BEING ITAKAYO IGIZWA NA KAMPUNI YA MBEYA CITY MOVIE PRODUCTION
         WAAMUZI WA USAIRI KWA WAIGIZAJI WA FILAM WAKIMSIKILIZA MUIGIZAJI







WAIGIZAJI MBALIMBALI WAKIONYESHA UMAHILI WAO MBELE YA WAAMUZI KUTETEA NAFASI ZAO ZA KUSHIKI KUIGIZA FILAM YA HUMAN BEING



 
VIJANA WAASWA KUTAMBUA NA KUTHAMINI VIPAJI VYAO
KWANI kila mwandamu chini ya jua anacho kipaji alichojaaliwa na mwanyezi Mungu na ndicho kitakacho muwezesha kumudu maisha yake hapa duniani

Hayo yamesemwa na Charlea mwaipopo mkurugenzi wa Mbeya City movie alipokua akiongea na wasanii wa maigizo mkoani Mbeya waliofika katika ukumbi wa Mbeya pic hotel wakati wa usaili uliofanyika kwa lengo la kupata waigizaji watakao shiriki kuigiza filamu ya Human being inayo tegemewa kutoka hivi karibuni.  

0 comments:

Post a Comment