Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 29, 2013

BABZ LOUNGE YA JIJINI MBEYA YAHOFIWA KUFUNGIWA


BARAZA LA MADIWANI LA HAMIA UKUMBINI HAPO

MMILIKI WAKE ASEMA NI NJAMA ZA KANISA LA WINNING FAITH LILILOPO KATIKA JENGO HILO






MADIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI WAKIZUNGUKA KATIKA JENGO LA UKUMBI WA BABZ LOUNGE



MADIWANI WAKIINGIA NDANI KUKAGUA UJENZI WA UKUMBI WA BABZ LOUNG

HIVI NDIVYO MUONEKANO WA NDANI YA UKUMBI WA BABZ LOUNGE 
                     HUU NI MLANGO UNAOZUIA SAUTI KUTOKA NJE YA UKUMBI HUO

MMILIKI WA UKUMBI WA BABZ LOUNGE SHADRACK MAKOMBE AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA TUKIO HILO

NA HUU NDIYO MUONEKANO WA MATANGAZO YA SHUGHURI HIZI MBILI KWENYE JENGO MOJA





 
BABZ LOUNGE YA JIJINI MBEYA YAHOFIWA KUFUNGIWA

BARAZA LA MADIWANI LA HAMIA UKUMBINI HAPO

MMILIKI WAKE ASEMA NI NJAMA ZA KANISA LA WINNING FAITH LILILOPO KATIKA JENGO HILO

Ukumbi wa disco wa BABZ LOUNGE unaoendelea kujichukulia umaarufu uliopo katikati ya jiji la mbeya wazidi kukumbwa na mikasa mingi likiwemo tukio la hivi karibuni  miezi michache iliyopita kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana sasa hofu imetanda kwa wapenzi wa burudani na sterehe kwakua yasemeka watakiwa kufungwa.

Hofu hiyo imetokana na baraza la madiwani wa halmashauri ya jiji la mbeya kuhamisha kikao chao kwa muda katika eneo la ukumbi huo kwa madai kuwa wanakagua kama ujenzi wa jengo hilo unaendana na maombi ya kibari kilivyo tolewa.

Kwa mujibu wa mmoja wa madiwani hao ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema wapo hapo pamoja na maafisa mipango miji kwa lango la kukagua kama kweli muombaji  amejenga ukumbi huo kama alivyo omba

Hata hivyo kwa upande wake mmiliki wa ukumbi huo SHADRA MAKOMBE amesema hizo ni njama za kanisa la winning faifh lililopangishwa karibu na ukumbi wa jengo hilo kwani kumekua na malalamiko na malumbano ya muda mlefu kwamba ukumbi huo unauza vinywaji kama vile bia na vinginevyo kitu ambacho kinatoa utukufu wa ibaada zao

Ameongeza kua jengo hilo ni maarumu kwa burudani na starehe tangu enzi na enzi avyo kama kanisa linaona ni vema liombe kibari cha kubadilisha matumizi ya jengo hilo na kuwa kanisa  

0 comments:

Post a Comment