Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 30, 2013

Waandishi wapata mafunzo yakujenga uelewa kuhusu harakati za ukombozi wa wanawake

Mafunzo ya tolewa na TGNP katika kanda ya Nyanda za juu kusini



                         Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini uwezeshaji wa semina hiyo



                          Waandishi wa habari wakiwa katika makundi kujadiliana mada


      Baadhi ya viongozi wa makundi wakiwasilisha uchambuzi wa mada mbele ya waandishi wa habari



Baadhi ya waandishi wakichangia mjadara wa kuhusu harakati za kumkomboa mwanamke katika mfumo kandamizi

Muwezeshaji wa mafunzo KENNY NGOMUO mratibu wa masuala ya habari na mawasiliano TGNP akitoa maelezo kwa wanahabari

0 comments:

Post a Comment