NILISOMA DARASANI DARAJA LEFU LA MTO ZAMBEZI NCHINI ZIMBABWE LEO NIPO HAPO
NIKIWA HARALE NIMELALA HOTEL HII
JAMANI ILIKUA NI NGUMU KUACHA ASILI YA VYAKULA KUTOKANA NA MAZOEA KWANI NCHI ZA WENZETU KUNAVYAKULA VYA KUSHANGAZA IKANILAZIM KURUDI NYUMBANI YANI CHIPSI SAMAKI
KAMA TZ TU MIFUGO KWA KWENDA MBELE
KILICHONISHANGAZA SANA WENZETU HUKU KUPIKA NI MAJANGA KWANI VYAKULA WANATEGEMEA KUNUNUA SUPER MERKET VILIVYOPIKWA TAYALI NAMI SIKUA NYUMA NASUBILA KUHUDUMIWA CHAKULA CHA MCHANA
HAPANA SIKUELEKEA BORDER NILIKWANDA KUPUMZIKA HOTELI TAYARI KWA KUVUKA BEITBRIDGE ASUBUHI YEKE KUELEKEA AFRIKA YA KUSINI
HOTEL NILIYOTUMIA KUPUMZIKA NCHINI ZIMBABWE KABLE YA KUVUKA KWANDA KWA MZEE MADIBA
ASUBUHI NILIENDELEA NA TARATIBU ZA KUVUKA BORDER YA ZIMBABWE
NAMSHUKURU MUNGU NIMEFIKA SALAMA NA HII MOJA YA MITAA YA JOHNAZBAG NCHINI AFRIKA KUSINI TUOMEANE KWANI BAADA YA MAFUNZO YA WIKI TATU NTAKUA NIKIANZA SAFARI YA KURUDI NCHI YENYE ASALI NAYO MAZIWA KISIMA CHA AMANI TZ
0 comments:
Post a Comment