Pages

Ads 468x60px

Thursday, December 19, 2013

MATUMIZI YA CHOO NI TATIZO KUBWA KWA WATANZANIA WAISHIO VIJIJINI

Hayo yamebainika katika Warsha ya wadau wa majina na usafi wa mazingira (WASH) jijini Mbeya iliyo iliyo dhaminiwa na shirika la watoto duniani UNICEF na kutembelea katika kutafiti vijiji vya  Lipange na Lugelele kata ya Uhahi Wilaya Mbarali na kujionea hayo
Afisa mtendaji wa kata ya Uhahi Cosintantino Tandika akiongea jambo katika kikao cha pamoja na wadau
                              Afisa afya akionyesha dawa ya kutibu maji kabla ya matumizi

Wadau wakisikiliza kwa makini na kunakili baadhi ya changamoto katika kikao cha pamoja na watendaji
                       Afisa Afya wa wilaya mbeya Emmanuel Mwaigugu akichangia mada
            Afisa mipango wa Mbeya vijijini Langson Nsusa nae hakuwa nyuma kutoa mawazo yake
                             Injinia wa maji Yesaya Kyungu akijaribu kudadisi jambo
           Baada ya kikao cha ndani wadau wanakwenda kujionea hari halisi huko kwa wananchi


                     Baada ya kuliona gari si mkubwa wala mtoto wote walitimua mbio


Baada ya kuona hivyo maafisa walitumia njia ya kuwapatia pesa ndipo watoto walipo jitokeza na kubainisha wazazi wao wapo ndani wamejificha
       Baba mwenye mji huyu hapa kalala ndani ya nyumba hii lakini alikataa kwamba yeye si muhusika na hataki apigwe picha wala kuzungumzia chochote


Lengo ni kujionea kama elimu ya matumizi choo kwa jamii ya wafugaji imefika na hiki ndicho choo cha mzee huyu
                                             Maofisa haooo wanaelekea Kaya nyingine


                         Karibuni sana jamani mbana mnanitisha? ni Bi Sofia mahona mama mwanye mji huu

           Baada ya salamu Afisa mtendaji akatoa utambulishi na lengo la ujumbe huu kuwepo pale

 Afisa Elimu na ufundi Frorence Mbwele kulia na Mwandishi wa habari Ester mwita wakifanya mahojiano
                             Baada ya mahojiano wanaelekea kuangali choo anachokitumia



                               Hiki ndicho choo anachokitumia na dumu la kunawia
Hapa ni sehemu ya kutupa taka

                                                                     Sehemu ya kuoga
                                   KICHANJA CHA KUKAUSHIA VYOMBO


                                                           JAMANI SISI TUNAPITA TU

                                     KAYA NYINGINE CHOO CHAKE HIKI

                        BAADAE MAOFISA WAKATEMBELEA SHULE YA MSINGI UHAHI
MWALIMU MKUU MSAIDIZI VERONIKA BUKUKU AKITOA MAELEZO KWA MAAFISA WALIOTEMBELEA SHULENI KWAKE



                   HILI NDILO TUNDU LA CHOO CHA WATOTO WA SHULE YA MSINGI IHAHI
KISHA MWALIMU MKUU MSAIDIZI VERONIKA BUKUKU AKAWATEMBEZA MAZINGIRA YA SHULIE NA KUJIONE HARI HII
 MWANDISHI WA HABARI WA KITUO CHA MATANGAZO CHA BARAKA FM RADIO ESTER MWITA AKIHOJIANA NAKIONGOZI WA MRADI GEOFREY MACKENZIE
 HIKI NDICHO CHOO KILICHOJENGWA KUA MFANO WA MRADI HUU KIJIJINI HAPO
SHULE YA MSINGI UHAHI YAANZA KUTEKELEZA KUIGA UJENZI WA CHOO BARA

0 comments:

Post a Comment