Pages

Ads 468x60px

Sunday, December 1, 2013

SAMAHANI KWA PICHA!!!MWANAMKE AMWAGIA TINDIKALI MME WAKE SEHEMU ZA SIRI



Mwanamke ambaye asiyetambulika amfanyia Mume wake kitu cha ajabu baada ya kusema anataka kumuucha. Akaamua kuwa na nania ya kumualibia uume wake na mpaka sasa huyo mwanaume yupo hospitali kalazwa anatumia mipila kutoa haja ndogo na Mwanamke huyo hatambuliki amekwenda wapi..inasemekana amwagia TINDI KALI

1 comments:

  1. Huu ni unyama wa hali ya juu ambao nimepata kuuona, kwa kweli matukio haya yakuumizana au hata kuuwana kwa ajili ya migogoro ya mapenzi ni yakomeshwe kabisa, na ikiwezekana wahusika wafungwe Jela kama siyo maisha basi mika mia mbili, huu siyo ubinadamu kwa kweli. Aliyetenda kitendo hiki serikali ifanye iwezavyo akamatwe afikikishwe katika vyombo vya sheria. Mungu aponye mwanaume huyu..

    ReplyDelete