Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 3, 2013

STAA WA MOVIE ZA FAST AND FURIOUS, PAUL WALKER AFARIKI


Marehemu Paul Walker (kushoto) akiwa na staa mwenzake Vin Diesel wakati wakiandaa filamu ya Fast & Furious 6.
Gari walilokuwemo Paul Walker na mwenzake Roger Rodas baada ya ajali hiyo.
Paul William Walker enzi za uhai wake. (Septemba 12, 1973 - Novemba 30, 2013)
Picha ya mwisho ya marehemu Paul William Walker wakati akiingia katika gari la rafiki yake muda mfupi kabla ya ajali.
Mashabiki wa marehemu Paul wakiweka maua katika eneo alilopata ajali staa huyo wa filamu za Fast and Furious.

Staa wa filamu za Fast and Furious, Paul William Walker amefariki dunia Jumamosi mchana katika ajali ya gari jijini Los Angeles, Marekani. Alikuwa katika gari la rafiki yake Roger Rodas ambaye naye amepoteza maisha katika ajali hiyo. Amefariki akiwa na umri wa miaka 40

0 comments:

Post a Comment