Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 22, 2014

SHEREHE ZAMIAKA 37 YA CHAMA CHA MAPINDUZI KUADHIMISHWA KITAIFA MKOANI MBEYA

MGENU RASMI NI RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO JAKAYA MRISHO KIKWETE

 KATIBU SIASA ITIKADI NA UENEZI MKOA WA MBEYA BASHIRU  MADODI AKIONGEA NA WAANSHI WA HABARI OFISI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI

            WAANDISHI WA HABARI WAKISIKILIZA KWA MAKINI KATIKA MKUTANO HUO

                   WAANDISHI WALIPATA NAFASI YA KUMUULIZA MASWALI MBALIMBALI

                                                                               HABARI

Katibu wa siasa itikadi na uenezi leo amefanya mkutani na waandishi wabari mkoani mbeya wenye lengo la kuujulisha uma na maandalizi ya sherehe za kutimiza miaka 37 ya chama cha mapinduzi (ccm) zinzozi tarajiwa kufanyika mnamo taehe 5/2/2014 katika kiwanja chaa kumbukumbu ya Sokoine
Akiongea mchna wa leo katika ofisi za chama hicho Bashuru amesema kwa mwaka huu sherehe hizo zitafanyika tarehe 2/2/14 ili kupata nafasi ya wanachama kupumzika

"Chama cha mapinduzi kitafanya sherehe za kutimiza miaka 37 kwa mwaka huu sherehe hizi zitzfznyikz tarehe 2/2/2014 kitaifa katika mkoa wetu na napenda kweka wazi ratiba kamili ya maamdalizi ya shughuri hiyo" Basiru alisema

Rataba kamili ya sherehe hiyo tarehe 25-26/01/ 2014 maafisa wawili watawasili toka makao makuu na kuja nmkoani Mbey, tarehe 28/01/2014 Katibu NEC siasa na uenezi Nape Moses Nnauye atawasili katika mkoa wa mbeya. Tarehe 30/01/2014 Makamu Mwenyekiti bara Philip Mangula Atawasili mkoani hapa na  Tarehe 31/01/2014 atafanya ziara katika wilayaya Mbeya Mjini akiongozana na wajumbe wa sekretariet ya Taifa kuangalia uhai wa chama katika matawi yote na kuangalia utekelezaji wa iliani ya ccm pia atashiriki shughuri za ujenzi wa taifa.

Tarehe 01/02/2014 Kinana alakutana na wanachama wa ccm kutoka vyuo vikuu vilivyopo mkoani mbeya
 

Tarehe 31/01/ 2014 katibu mkuu wa ccm Abdala kinana atakutana na vijana wajasilia mali wa boda boda
Tarehe 01/02/2014 Mwenyekiti wa ccm Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete atawasili katika mkoa wa Mbeya atapokelewa katika uwanja wa Ndege Songwe.

Tarehe 02/02/2014 Saa 12:00mchana hadi 2:00 asubuhi yatafanyika matembezi ya mshikamano yatayo ongozwa naMwenyekti wa ccm Taifa Ndugu Jakaya Mrisho kikwete yatakayo anzia soweto na kuishia ofisi za ccm mkoa wa mbeya

Tarehe 02/0 sherehe za miaka



0 comments:

Post a Comment