Pages

Ads 468x60px

Friday, January 17, 2014

WAUMINI WADINI YA KIKRISTO WAMEASWA KUTENDA MEMA KATIKA JAMII ILI KUJIVUNIA KUITWA WANA WAMUNGU NA WADOGO ZAKE YESU


HAYO YAMESEMWA NA MKUU WA WILAYA YA MBEYA DR NORMAN SIGGALA KATIKA SHEREHE ZA KUMUAGA MCHUNGAJI ANYELWISYE MWAKANYILENGE  HUKO IPINDA WILAYA YA KYELA





MKUU WA WLAYA YA MBEYA MJINI NORMAN SIGALLA AKIHUBIRI KATIKA SHEREHE HIZO NDANI YA KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA IPINDA

                                BABA NA MAMA MCHUNGAJI A .A MWAKANYILENGE

MWAIMAJI WA NYIMBA ZA INJILI TUMAINI MBEMBELA AKIIMBA KATIKA IBAADA HIYO
KWAYA YA VIJANA MORAVIAN USHIRIKA WA IPINDA WAKIWA NDANI YA IBAADA  



MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA MBEYA NORMANI SIGGALA WAKIWASILI KATIKA IBAADA HIYO NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE APOSTLE JERAMIA MWAKANYILENGE


WAUMINI WALIOFULIKA KATIKA IBAADA YA KUMUAGA MCHUNGAJI

MWALIMU ULIMBAKISYA MWAKAJANGE AKICHANGISHA MICHANGO YA KUMUAGA MCHUNGAJI MWAKANYILENGE

MCHUNGAJI A. MWAKANYILENGE AKIMARIBISHA MGENI RASMI NORMANI SIGGALA KATIKA IBAADA



APOSTLE JEREMIA MWAKANYILENGE NA MKE WAKE WAKISEMA JAOMBO KWA WAUMINI WA KANISA HILO



WAUMINI WAKIWA WANATOA ZAWADI MBALIMBLI ISHARA YA KUMSHUKURU NA KUMUAGA MCHUNGAJI WAO WALIEISHI NAE KWA MUDA MREFU
HATUNA NENO ZURI LA KUWA SHUKURU KWA MSATENDO MEMA MLIYO MTENDEA BABA MCHUNGAJI ZAIDI YA ASANTENI SANA

MCHUNGAJI A. MWAKANYILENGE NA MAMA MCHUNGAJI WAPATA NAFASI YA KAWASHUKURU WAUMINI KWA ZAWADI MBALIMBALI WALIZOWAPATIA
PICHA YA PAMOJA WAUMINI, MGENI RASMI NA MCHUNGAJI

0 comments:

Post a Comment