Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(Chadema), Zitto Kabwe (kulia) akitoka katika Mahakama Kuu ya Tanzania, 
Dar es Salaam leo, ambapo aliwasilisha ombi la pingamizi la yeye 
kutojadiliwa kwenye kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kinachotarajia 
kufanyika kesho, hadi rufaa yake ya kupinga kuenguliwa wadhifa huo 
kwenye Baraza Kuu la chama hicho. Kushoto ni Wakili wa Zitto, Albert 
Msando. Mahakama Kuu imekubaliana na Zitto Kikao cha Kamati Kuu ya 
Chadema kinachotarajiwa kufanyika kesho kutomjadili kwa namna 
yoyote.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Zitto Kabwe akiingia mahakama Kuu Dar es Salaam leo
Wanasheria wa Chadema, Tundu Lisu (kushoto) na Peter Kibatala waliofika kupinga hoja hiyo mahakamani.
Tundu Lisu na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakijadiliana jambo wakati wakisubiri uamuzi wa mahakama
Zitto ana wakili wake Msando wakiwasiliana na marafiki zao walipokuwa wakisubili uamuzi wa mahakama, ambapo Zitto aliibuka dedea kwa pingamizi lake kukubaliwa hivyo kikao cha Kamati Kuu kinachofanyika kesho kukatazwa kumjadili kwa namna yoyote Zitto.

0 comments:
Post a Comment