skip to main |
skip to sidebar
Elizabeth Mwakijambile, mshiriki wa Epique Bongo Star Search 2013 kafiwa na kaka yake mkubwa
wasafilisha maiti kuelekea kyela kwa mazishi
Elizabeth Mwakijambile, mshiriki anayeshangaza kwa uwezo wa ziada wa kuimba sauti ya kiume.
amepatwana msiba wa kaka yake mkubwa john mwakijambile ambeye alikua amelazwa katika haospital ya jeshi jijini mbeya msiba huo umesafilishwa kwenda kijijini kwao uko kyela kwa mazishi.
0 comments:
Post a Comment