Mgeni rasmi Waziri wa Mambo
ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha
Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka lililofanyika jana kwenye
u8wanja wa Taifa akizungumza na mashabiki mbalimbali waliojitokeza
katika tamasha hilo na kuwaomba kuwa watulivu wakati huu wa mchakato wa
katiba mpya akisema uamuzi mtautoa nyini ni serikali gani mnaiihitaji
iwe moja, Tatu au Mbili nyinyi ndiyo mtaamua na sisi tutakipitisha kile
mlichokiamua, Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex
Msama na katikati ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh. Angela
Kairuki.
Mwanamuiki wa muziki wa
injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse Phoofolo akicheza na
mashabiki wake wakati alipokuwa akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa
Taifa jana.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Zambia Ephraim Sekereti akiimba jukwaani jana.
Mwanamuiki wa muziki wa
injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse Phoofolo akicheza na kwa
mbwembwe wakati alipokuwa akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa Taifa
jana.
Mgeni rasmi Waziri wa
Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe
aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete akiongozwa kuelekea jukwaani na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama.
Mwimbaji wa ijini kutoka
nchini Uingereza Dayo Bello akiimba na mkewe Ruth Tobi wakati wa tamasha
la pakasa kwenye uwanja wa Taifa jana.
Mwimbaji Jesca BM naye alipagawisha mashabiki.
Mchungaji mtarajiwa Masanja Mkandamizaji akifanya vitu vyake jukwaani.
Umati uliojitokeza katika tamasha hilo.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo
ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha
Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka akirejea kuketi huku
akizungumza na Richard Kasesela na Alex Msama katikati.
Upendo Kilahiro akiimba jukwaani na kundi la Victoria Singers.
Mashabiki mbalimbali wakimshuhudia mwanamuziki Kekeletse Phoofolo hayupo ichani wakati alipokuwa akifanya vitu vyake jukwaani.
Ikafika zamu ya Upendo Nkone |
Mwanamuiki wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse Phoofolo kazi moja tu burudani .
Rose Muhando na kundi lake wakipagawisha kwenye tamasha la Pasaka jana katika uwanja wa Taifa.
0 comments:
Post a Comment