Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 1, 2014

MBEYA CITY YAINYIMA RAHA PRISON

YAICHABANGA 1-0 KATIKA MECHI LIYOCHEZWA MWAISHONI MWA WIKI KATIKA KIWANJA CHA SOKOINE JIJINI MBEYA


KABRA YA MCHEZO KUANZA TIMU ZOTE MBILI ZIKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

WAAMUZI WA MCHEZO WAKIWA NA VIONGOZI WA TIMU ZOTE MBILI KABLA YA MCHEZO



                                                                  USHABIKI KAZI
           WAALIMU WA MBEYA CITY JUMA MWAMBUSI KULIA NA MACKA MWALWISI

DAKIKA YA 2 MBEYA CITY WAKAJIPATIA GOLI LILIDUMU MPAKA MWISHO WA MCHEZO
                                       SHABIKI WA PRISON AKILISHANGAA GOLI

                                                              MASHABIKI WA PRISON



                                   WACHEZAJI MBEYA CITY WAKISHANGILIA GOLI




MLINDA MLANGO WA PRISONI BENSONI KAKOLANYA AKIPAMBANA NA MASHUTI YA VIJANA WA MBEYA CITY

                       KIPA WA MBEYA CITY AKIONJA JOTO YA MAAFANDEA WA PRISON


                                                        KAZI KWELI KWELI












                                    MASHABIKI NDANI YA UWANJA WA SOKOINE

0 comments:

Post a Comment