Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 1, 2014

SHEREHE ZA WIKI YA MAJI ZA FANA SANA WILAYANI RUNGWE

MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPIN MEELA AWAAHIDI WANANCHI KUPATA MAJI KABLA YA MWEZI WA SITA AMBAYO NI KERO KUBWA KWA WAKAZI WA KIJIJI CHA NKUNGA
WAIMBAJI MAARUFU KWA KIBHOTA KWA RUGHA YA KINYAKYUSA WALIKUA KIVUTIO KWA SHEREHE HIZO







NGOMA YA KIENYEJI YA KABILA LA KINYAKYUSA MAARUFU KAMA LING`OMA WAKITOA BURUDANI KATIKA SHEREHE HIZO


                    WANANCHI WA KIJIJI CHA NKUNGA WILAYANI RUNGWE WAKICHEZA




WANANCHI WALIOJITOKEZA KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KIMKOA KIJIJINI HAPO



 MRADI HUU WA MAJI WAZINDULIWA NA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPI MEELA KIJIJINI NKUNGA



MHANDISI WA MAJI WILAYANI RUNGWE AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASM

DIWANI WA KATA YA NKUNGA AKIMKARIBISHA MGENI RASMI AONGEE NA WANANCHI
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPIN MEELA AKIONGEA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA NKUNGA WILAYANI RUNGWE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KIMKOA
                                                                KAZI KWELIKWELI






SHEREHE NI KULA NA KUNYWA JAMANI HIYO NDIYO SHERE DEREVA WA GARI LA SINEMA MKOA WA MBEYA GASPA KUSHOTO AKIJIVINJALI KATIA BAA YA WENYEJI





USIKU WA SIKU HIYO ULIHITIMISHWA KWA WANANCHI KUANGALIA SINEMA YA MAFUNDISHO JUU YA UTUNZAJI MA MAJI

0 comments:

Post a Comment