IMEHUSISHA TIPA LA MCHANGA KULIGONGA GARI DOGO LA ABILIA TOYOTA HIACE ILIYOKUA IKITOKA TUKUYU KWANDA STENDI KUU YA MABASI
TIPA LA MCHNGA LENYE NAMBA ZA USAJILI T 105 NA TOUOTA HIACE T232 ABB BAADA YA KUGONGANA
HII NDIYO HALI HALISI YA AJALI HIYO ILIYO SABABISHA MAJERU WATATU WALIOJERUHIWA VIBAYA AKIWEPO DEREVA YA GARI DOGO LA ABILIA TOYOTA HIACE GWAMAKA MWAKASEGE WALIOKIMBIZWA HOSPILI YA RUFAA JIJINI MBEYA KWA MATIBABU ZAIDI

0 comments:
Post a Comment