Pages

Ads 468x60px

Thursday, April 3, 2014

SERIKALI YATOA SIKU 2 KUONDOSHWA KWA HIYARI VIBANDA VYA MPESA JIJIN MBEYA

NI VILE VILIVYOPO KANDO YA BARABARA KUU YA TANZANIA NA ZAMBIA ASIYE TII AMRI HIYO KUONDLEWA KWA LAZIMA



HIVI NDIVYO HALI HALISI YA VIBANDA HIVYO VILIVYOPO MAENEO YA KUAZIA MAFIATI KUELEKEA SOWETO JIJINI MBEYA

BAADHI YA WAFANYA BIASHARA HIYO WAKIWA KATIKA UKUMBI WA NDOJEZ MAEENEOYA MWANJELWA WAKIONGEA NA AFISA USAFISHWAJI WA JIJI LA MBEYA SAMWELI LIBEGWA

AFISA USAFISHWAJI WA JIJI LA MBEYA SAMWELI LUBEGWA AKITOA UFAFANUZI JUU YA WAFANYA BIASHARA HAO KUONDOKA KANDOKANDO YA BARABARA
\
MLEZI WA BODABODA HIACE WAMACHINGA NA TAX INSPECTOR ISACK LEMA AKIONGEA NA WAMACHINGA KATIKA MKUTANO HUO
MWENYEKITI WA WAMACHINGA MWANJELWA DICSON KALAPILA AKI WAKARIBISHA VIONGOZI KATIKA MKUTANO
ASKALI WA JESHI LA POLISI USALAMA BARABARNI JEREMIAH AKIKARIBISHWA KATIKA KIKAO HICHO
                                 MWANYEKITI WA WAMACHINGA SIDO JAMESI MWEPA




BAADHI YA WAMCHINGA WAKIULIZA MASWALI AMBAYO HAWAKUELEWA ILI WAWEZE KUELIMISHWA ZAIDI

                                                                      HABARI KAMILI



SERIKALI IMETOA SIKU MBILI KWA WAFANYA BISHARA WA MPESA KUONDOA MABANDA YAO PEMBEZONI MWA BARABARA KUU YA TANZANI ZAMBIA

Hayo yamesemwa na afisa usafishwaji wa jiji la mbeya SAMWELI LUBEGWA alipokua akiongea na wafanya bishara wadogo maarufu kama wamachinga katika mkutano nao uliofanyika katika ukumbi wa Ndojez uliopo maeneo ya Mwanjelwa jijini hapa

Katika mkutano huo LUBEGWA amewataka wale wote wenye vibanda vye biashara ya mpesa pembe zoni mwa barabara kuu ya Tanzania na Zambia kuviondoa haraka iwezekanvyo kwani vimekua na muonekano mbaya katika sura ya mkoa wa Mbeya kutokana na kuwa maeneo hayo ni njia kuu ya kutoka na kingia mkoani hapa.

Ameongeza kuwa biashara ya Mpesa ni rasmi na wanapaswa kuwa na reseni na maeneo marumu ya kufania shughuri hizo, Tofauti na wamamchinga ambao zoezi hili haliwahusu kwakua  swala lao lipo katika mazungumzo ili kuwatengea maeneo ya kuahamia mara baada ya serikali kutenga maeneo ya kuendeshea biashara zao

Akiongea kwa niaba ya wafanya biashara hao LEVI MGAYA ameiomba Serikali kuto waondoa wafanya bishara hao kwakua ni sehemu ya wanachinga kwani kwa kufanya hivyo itasababishia kuishi maisha magumu na kushindwa kumudu kutunza famila zao kwa muda ambao watakao kua wakijipaga kahamia sehemu nyingine.

Mgaya ameongeza  kua vibanda hivyo vimeto ajira kwa vijana zaidi ya mia mbili ambazo zimewafanya wasijihusishe na vitendo vya uovu kama vile ujambazi na upigaji nondo, Hivyo Serikali itakapo waondoa inaweza kusababisha vijana hao kujiingiza katika matukio ambayo si mema katika jamii kwa kushindwa kujiajili.

Nae mlezi wa wamachinga na madeeva wa Boda boda mkoani hapa Inector ISACK LEMA amewataka wafanya biashara hao kutunza amani mkoani hapa kwani si vitendo vizuri vya kushindana na Serikali ni vema kukimbilia meza ya mazungumzo kila kunapotokea kuto kuelewana, Kwani jeshi la polisi halipo katika kupambana na wananchi bali kulinda  watu na mali zao,


0 comments:

Post a Comment