Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 29, 2014

Mtu mmoja amekutwa ndani ya maji akiwa amekufa sokomatola barabara ya saba katika mto Mbata


Mtu alie julikana kwa jina la Jofrey Mwambeja anae kadiliwa kuwa na umli wa miaka 30-35 amekutwa amekufa ndani ya maji ya mto mbata uliopo sokomatola kata ya maendeleo jijini mbeya
 Kaka wa marehemu Fredy Mwambeja akiwa katika majonzi mazito ya kuondokewa na mdogo wake 


Mwaili wa marehemu Jofrey Mwambenja baada ya kumtoka ndani ya maji maeneo ya sokomatola


                              Wasamalia wema wakijaribu kuweka sawa mwili wa marehemu
                       Askali kanzu wakipata maelezo kutoka kwa diwani wa kata hiyo Pantareo Shio




                                      Baadhi ya watu waliofika kushuhudia tukio hilo

             Kaka wa marehem akiwa ndani ya gari la polisi tayari kuelekea Hospitali a Rufaa mbeya


0 comments:

Post a Comment