Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 3, 2014

Wafanyakazi Wa kituo cha matangazo Radio Baraka washerehekea Siku ya kuzaliwa Mfanyakazi mwenzao kwa shangwe


          Ivilla mgala amshukru mungu kumuwezesha kufikisha umri miaka kadhaa
              Keki iliyoandaliwa kukata Ivila katika sherehe ya kuzaliwa kwake
                                       Ivilla katika muonekano wa kukata keki


   Baadhi ya Wafanyakazi wa Radio Baraka wakimuimbia wimbo wa Happy Birth day










                           Baadhi ya wafanya kazi waliopata nafasi ya kulishwa keki



                                                Baadhi yao wakimlisha keki Ivilla




Kama zilivyo sherehe nyingi hapakosi kuwa na vituko baadhi yao wamevunja utaraibu wa mc wameanza kujichukulia keki kwa mikono bila hata kunawa

0 comments:

Post a Comment