Waandishi wa
Habari mkoani mbeya waungana na mamia ya watu katika mazishi ya mwandishi wa
magazeti ya Uhuru na mzalendo
Marehemu shomi mtaki enzi za uhai wake
Wtu na viongozi mbalimbali wakitoa salamu za lambilambi kwa familia ya marehemu Shomi Mtaki Nyumbani kwake Tunduma
Baadhi ya waandishi walishiriki mazishi ya Shomi Mtaki
Katikati ni mke wa marehemu Shomi Mtaki
Kushoto ni mama mzazi wa marehemu
Waandishi wa Habari ndugu jamaa na Marafiki wakielekea eneo la Nyumba ya milele ya Shomi Mtaki



























0 comments:
Post a Comment