Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 21, 2014

Tabia za madereva za kusababisha Ajali na kukimia zime zaidi kushamili nchini

Ni baada ya Dereva wa Bajaji mkoani Mbeya kuangushaa mtaloni  na kisha kukimbia akiwaacha Ablia wake akidhania ameua
                        Dereva Bajaji akiwa katika harakati za kukimbia  baada ya kusababisha ajali
Abiria waliokuwemo ndani ya Bajaji hiyo wakiwa salama baada ya kuoekolewa na wasa,alia wema

                                           Baadhi ya wananchi wakishuhudia ajali hiyo

                            Wasamalia wema wakioko abiria na mizigo yao katika ajali hiyo


Jinsi Bajaji ilivyo ingia katika kolongo na kona kili maeneo ya  Meta barabara inayo toka tunduma na stendi kuu ya mabasi jijini Mbeya

0 comments:

Post a Comment