Pages

Ads 468x60px

Monday, June 16, 2014

Green city fc na White staa Kuiwakilisaha Mbeya kwenda kanda katika michuano ya Castle Perfect

Mashindano yanayo dhaminiwa na kinywaji cha Castle lager yanayo lenga katafuta timu bora itakayo kwenda ispania




                      Green City Fc wakipokea zawadi ya katoni za bia ya castle baada ya kunyakua ushindi

                               White Staa wakishukuru baada ya kukabodhiwa zawad ya mshindi wa pili



  Vetelani na kadege fc wakifungua dimba la mchezo uliojumuisha timu nane na kuzipiata timu mbili zakuwakilisha kanda



                Mpambano ulikua mkali sana na kadege waliibuka washindi kwa kuchakaza Vetelani 4-0
                                                                              Green city fc
Nyuki Staar
                            Picha ya pamoja kabla ya mpambano kati ya Green city fc na Nyuki staar


                                            Mpambano mkali Green city ikaibuka mshindi kwa 3-0
Meneja wa Geen city Charles Mwaipopo wakwanza kulia, Daktali wa Timu Godfre wa kwanza kushoto Na mwalimu wa Timu Chudo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuingia fainali




Timu zilizoingia Fainalna Geen city kunyakua ushindi wa kwanza na kusonga mbele kuiwakilisha mbeya katika michuano ya kanda itakayo fanyika jumamosi hii ya  21-06-2014 katika viwanja vya Ruanda nzovwe ambapo zitakutana na timu mbili kutoka Iringa na kumpata mshindi mmoja wa kuwakilisha Kanda kwenda viwanja vya lidas jijin dar kukutana na washindi wa kanda nane  za Tanzania Bara



0 comments:

Post a Comment