Pages

Ads 468x60px

Sunday, June 15, 2014

Hot news: Mtu mmoja amekufa na wengene kujeruhiwa walipokua wakielekea kuzika katika makaburi ya Iyela Jijini Mbeya

Baada ya Dereva wa Gari lililokua limebeba waombolezaji kushindwa kulimudu alipokua akipanda mlima uliopo karibu na makaburi hayo na kuanza kurudi nyuma.


Tunaomba Radhi kwa picha ya mwili wa malehemu utakayoiona hapa

Mwili wa mtu aliyetambulika kwa jina la Saimoni Julius baada ya ajali hiyo ukiwa umepokelewa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya


 Baadhi ya majeruhi walitibiwa na kuruhusiwa na wengine ambao walijeruhiwa vibaya hatukupata idadi yao walilazwa katika wad ya majeruhi


0 comments:

Post a Comment