skip to main |
skip to sidebar
HUYU NDIYE BOSI MWENYE ROHO MBAYA AMBAYE ALIMNG'ATA NG'ATA MFANYAKAZI WAKE.. TAZAMA HAPA
Pichani ndio Mwanamke anayejulikana kwa jina la Amina Maige anaetuhumiwa kumjeruhi mfanya kazi wake wa ndani
Yusta Lucas akionyesha majeraha ya meno aliyong'atwa na bosi yake.
Yusta Lucas akiwa wodini kwenye Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Kinondoni, Mwananyamala jijini Dar.
0 comments:
Post a Comment