Atukuzwe Fabiani Toka mbeya vijijini Aukwaa umiss Mbeya 2014
Msindi wa nafasi ya pili
Nafasi ya Tatu
Waliofika tano bora
Majaji washindano hilo akiwajibika ili kutenda haki ya kumpata miss mbeya
Onesho hilo lilipambwa na Band ya Fm akademia Wazee wa Ngwasuma ambao waliku kivutio sana kwa watazamaji
Wapenda muziki ilikua ngumu sana kuwakuta wametulia chini ilikua kucheza kwa kwenda Mbele
Watu mbalimbali walijitokeza kuwashuhudia walembo hao
Miss mbeya 2013
Miss mbeya 2013 akimkabidhi kijiti Miss 2014
Mshindi wa kwanza mpaka wa tatu katika picha ya pamoja
Msindi wa kwanza akipewa zawadi kutoka Access Computer ltd
Ins: Ester Mchomvu akitoa hotuba kwa niaba ya kamanda wa polis baada ya kumaliza mashindano

























































0 comments:
Post a Comment