Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 2, 2014

Green city fc ya jijini Mbeya imefuzu kuiwakilisha kanda


Katika michuano ya Spain perfect inayo dhaminiwa na kinywaji cha Castle Lager

 maandalizi ya kumpata mshindi kanda pamoja na kikombe kitalicho andaliwa kwa mshindi wa kwanza


          Gree city fc wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu
                                                              Savana fc toka mjini Iringa
                                                                   Gadafi Fc toka mjini Iringa
                               White Star kutoka jijini Mbeya

       Timu zote nne zikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mashindano












Baadhi ya wadau na mashabiki wa Green city wakipata moja mbili katika viwanja vya city pub

                   Baadhi ya warembo waliopamba mashindano hayo




Wachezaji wa Green city wakishangilia baada ya kuchukua ushindi wa kua wakwanza katika mashindano 


 Meneja masoko nyanda za juu kusini Vivianus Rwezaura akizipongeza timu zote kwa ushiriki wake mzuri























Sherehe Shangwe za ushundi wa Green city katika kulipokea kombe baada ya ushindi

Soma habari Zaidi

Green city fc ya jijini Mbeya imefuzu kuiwakilisha kanda

Katika michuano ya Spain perfect inayo dhaminiwa na kinywaji cha Castle Lager

Timu ya Green city fc inayo milikiwa na kampuni ya Malafyale Entertaiment ya jijini Mbeya Imefanikiwa kunyakua kikombe cha mashindano ya Spain Perfect ya kanda yaliyo zishilikisaha timu za Iringa, Njombe, na Mbeya.

Timu hiyo ilifanikiwa kunyakua kikombe hicho kwa kuzichapa timu ya Savana toka iringa goli 9-0 white star 8-4 na kufanikiwa kuingia fainal na timu ya Gadafi toka Njombe kwa magoli o-3 kwa kichapo hicho kilipelekea Green city kunyakua kombe hilo.

Kwa hatua hiyo Timu hiyo imefanikiwa kupata nafasi ya kuiwakilisha kanda na kwenda katika michuoano ya Taifa itakayo fanyika katika viwanja vya Lidas vilivyopo jijini Dar es salaam ambapo itapatika timu moja ya kwanda Ispani kwenda kushuhudia mchezo wa… kati ya….

Mwalimu wa Green city Florian Napolion maalufu (Chudo) amesema timu yake imefanya mazoezi ya kutosha imejiandaa vizuri na imejipanga na inamikakati ya kutosha kuchukua ushindi katika michuano hiyo kitaifa na kuiwakilisha vyema Tanzania huko Ispania

“Timu yetu imejipanga vizuri ina mazoezi ya kutosha na imepania na hatutaki kuiwakilisha vibaya kanda yetu kwa dhamana tuliyopewa kikanda lazima kurudi na ukushindi katika michuano hiyo na hata kitaifa na kuiwakilish Nchi yetu Tanzania huko Ispania” amesema Chudo

Kwa upande wake meneja masoko wa bia ya castle lager nyanda za juu kusini Vivianus Rwezaura ameipongeza sana timu hiyo kwa kupata nafasi ya kuiwakilisha kanda yake na ameahidi kua bega kwa bega katika maandalizi ili kufanikisha maandalizi yote na kuona kwamba kanda yetu inapata ushindi katika michuano ya  Taifa na kisha kwenda kuitangaza nchi yetu huko Spain. 

0 comments:

Post a Comment