Pages

Ads 468x60px

Monday, February 9, 2015

Waandishi wa habari Mkoani Mbeya wafundwa



Waanza semina ya siku tatu iliyoandaliwa na ofisi ya Ras kwa kushirikiana na (UNICEF) yafanyika katika ukumbi wa Royal Tughimbe wajifunza namna ya kuandika habari za ukimwi
 Charles Kayoka Muwezeshaji kutoka chuo kikuu chs Dar es salaam akifundisha moja ya mada katika Semina


Stellah Kategile aliekaa Afisa maendeleo ya jamii na mratibu wa Ukimwa akiweka mambo sawa katika semina hiyo


Baadhi ya waandishi wakichangia mada
Tulanoga Matimbwi HIV/ADS Specalist UNICEF Dar es salaam akifafanua jambo katika wanasemina










                              Baadhi ya waandishi waliopata nafasi ya kushiriki semina

0 comments:

Post a Comment