Pages

Ads 468x60px

Tuesday, March 3, 2015

KANDORO KUWAFUNDA WAKUU WA WILAYA WAPYA

MKUU WA MKOA WA MBEYA AKIHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA KUWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA JIJINI MBEYA.




WATU NA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI, SIASA NA DINI WALIOHUDHURIA SHEREHE HIZO

MKUU WA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA AHMED MSANGI AMBAE ALIKUA KIVUTIO KIKUBWA KATIKA SHEREHE HIZO
                            MKUU WA WILAYA MPYA MBEYA MJINI NYEREMBE MUNASA
 MWENYEKITI WA WAKUU WA WILAYA NA MKUU WA WILAYA YA CHUNYA KINAWILO
                                                            JAJI ATUGANILE NGWALA

                                        KATIBU WA CCM MKOA WA MBEYA MWANGI RAJABU















VIONGOZI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABASS KANDORO



HABARI SOMA HAPA

NA Charles Abraham




Wakuu wa wilaya mkoani Mbeya wametakiwa kutotengeneza makundi katika 0fisi zao mpya, Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya ABASS KANDORO katika Sherehe za kuwaapisha wakuu wa wilaya wapya.

“Hamuwezi kuwa viongozi wa wilaya bila kushirikiana na viongozi wengine kashirikiane nao kwa kuwa  wao wana wafuasi wengi  watawasaidia kuongoza  kama kuna mtu  hataki atakae umia ni yeye, ambacho sikitaki kwenu ni kwenda kutengeneza makundi maana nimeambiwa kuna wengine tayari mmeanza kuelezwa mambo kutoka kwa baadhi ya watu msiwasikilize  kwa kuwa wote ni watu wenu.

KANDORO ameongeza kuwashukuru wakuu wa wilaya waliohamishwa vituo vya kazi kwa kazi zao nzuri katika maeneo yao wanayo toka kwamba wanakoendenda wakaendeleze mambo mazururi waliyokuwa wakifanya katika wilaya zao wanazoziende

Nae meya wa jiji la Mbeya ATANASI KAPUNGA amesema Raisi  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania JAKAYA KIKWETAE amewachagua  wakuu wa wilaya hao kwa lengo la kuhakikisha kuwa  chama cha mapinduzi (CCM) kinashinda katika uchaguzi mkuu ujao.

Pia mkuu wa wilaya mpaya wilaya ya Mbeya mjini NYEMBE MUNASA amewashukuru wale wote waliohudhuria sherehe hizo za kuapishwa kwao na kuahidi kuenzi kazi zote zilizo kua zikifanywa na wakuu hao waliopita na kuendeleza zile ambazo hawakukamilisha katika muda waliokuwepo.

                                                  Mwisho



0 comments:

Post a Comment