Wamiliki
wavamia na kuvunja makufuri ya kila nyumba walizo hisi kuwepo kwa pikipiki hizo
Ni usiku wa giza nene ambao umoja wa waendesha bodaboda na wamiliki walipovamia mtaa wa Mbwile (B) kata ya Nonde wakitafuta pikipiki nne zilizoibwa nakulipotiwa kufichwa katika nyumba za mitaa hiyo
Madereve wa bodaboda wakizunguka kila kona wakitafuta wapi zimefichwa
zoezi la kubomoa makufuri na milango ikiendelea na kuiingia ndani kila nyumba waliyohisi kuwepo kwa pikipiki hizo.
Askali wa jeshi la polisi walifika eneo la tukio na kusimamia zoezi hilo japo halikuzaa matunda kwa kushindwa kupata japo pikipiki moja.
Mwenyekit wa mtaa huo mzee bukubuku akiongea na madereva hao pamoja na askali polisi akitaka kusitishwa kwa msako huo kwakua hakukuwa na uhakika wowote ni nyumba gani imetiliwa shaka.
0 comments:
Post a Comment