Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga
Mpina akitembelea Ujenzi wa Mradi wa Mtaro katika Uwanja wa Mpira Mnazi
Mmoja akiwa katika ziara zake Zanzibar kutembelea Miradi ya Mazingira
inayosimamiwa na Muungano akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar
na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Mhe Hamad Yussuf Masauni.
Kijiko cha Kampuni ya Ujenzi Mtaro huo kikiwa kazini katika uchimbaji wa mtaro huo nyambu ya pili pwani ya kizingo Zanzibar.
Makalbi
ya mtaro wa kupitishia maji kutoka katika viwanja vya mpira mnazi mmoja
yakitandikwa, na kulia ni mabomba ya mtaro huo ya zamani yaliokuwa
yakitoa huduma hiyo ya kupitisha maji kutoka katika uwanja huo.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe.Luhaga Mpina akiangalia ujenzi huo wakati wa ziara yake kutembelea miradi huo.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe.Luhaga Mpina akiangalia ujenzi huo wakati wa ziara yake kutembelea miradi huo.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina
akimsikiliza Mhandisi wa Baraza la Manispa Zanzibar Ndg Mzee Khamis Juma
akitowa maelezo ya kitaalumu ya Ujenzi wa Mtaro wa maji machafu wakati
wa mvua kunyesha
Mhandisi
wa Baraza la Manispa Zanzibar Mzee Khamis Juma akizungumza wakati wa
ziara ya Mhe Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na
Mazingira Mhe Luhaga Mpina wakati alipofika kutembelea mradi wa ujunzi
huo katika uwanja wa mnazi mmoja Zanzibar, kuondosha tatizo wa maji
katika uwanja huo unaokuwa kero kutumika kwa kiwanja hicho kipindi cha
mvua na kuingia maji ya bahari.
Mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa maji katika uwanja wa mpira wa mnazi mmoja unaoendelea na ujenzi wa mtaro huo.
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe.Luhaga
Mpina akizungumza wakati alipofika katika mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa
Maji katika Viwanja vya Mnazi Mmoja akiwa katika ziara yake kisiwani
Zanzibar. na kumalizia Kisiwani Pemba kutembelea Miradi ya Mazingira
kisiwani humo.
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe.Luhaga
Mpina akizungumza wakati alipofika katika mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa
Maji katika Viwanja vya Mnazi Mmoja akiwa katika ziara yake kisiwani
Zanzibar. na kumalizia Kisiwani Pemba kutembelea Miradi ya Mazingira
kisiwani humo.
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga
Mpina akiwa katika ziara yake kutembelea Jimbo la Jangombe kujionea
athari za mazingira inazozikabili Jimbo hilo kwa kutokea kwa kuzama kwa
nyumba katika mwaka 1998 na baadhi ya nyumba nyengine kupata athari.
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga
Mpina akiwa katika ziara yake kutembelea Jimbo la Jangombe kujionea
athari za mazingira inazozikabili Jimbo hilo kwa kutokea kwa kuzama kwa
nyumba katika mwaka 1998 na baadhi ya nyumba nyengine kupata athari.
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga
Mpina akiwa katika ziara yake kutembelea Jimbo la Jangombe kujionea
athari za mazingira inazozikabili Jimbo hilo kwa kutokea kwa kuzama kwa
nyumba katika mwaka 1998 na baadhi ya nyumba nyengine kupata athari.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina
akiwa katika ziara yake Jimbo la Jangombe Zanzibar.kushoto Meya wa
Baraza la Manispa Zanzibar Mhe. Khatib Abdurahan Khatib na Mkurugenzi
Mazingira Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndg Juma Bakari
Alawi.
Sheha
wa Shehia ya Jangombe Ndg Khamis Ahmada Salum akitowa maelezo kwa Mhe
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe Luhaga Mpina wakati wa ziara
yake katika Jimbo hilo.
Mhe
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe
Luhaga Mpina akisalimiana na Wazee wa Jimbo la Jangombe wakati wa ziara
yake katika Jimbo hilo akiwa Zanzibar.
Eneo
lilikozama Nyumba katika mtaa wa Jangombe Mshelishelini mwaka 1998
ambapo amefika Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na
Mazingira Mhe Luhaga Mpina wakati wa ziara yake Zanzibar kutembelea
Miradi ya Mazingira na ya Muungano ilioko Zanzibar.,
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga
Mpina akiwa katika eneo iklikoza nyumba hiyo Jangombe wakati wa ziara
yake Zanzibar.
Mwananchi
wa Jangombe Nyumba yao ilididimika katika eneo hilo wakati wa Mvua za
masika katika mwaka 1998 Ndg Salum Ibrahim Mgaza akitowa ushuhuda wa
kuzama kwa nyumba yao kwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira wakati wa ziara yake katika jimbo hilo na kufika
katika eneo hilo ilikozama nyumba hiyo katika mwaka 1998 na kubaki
kiwanja hadi sasa.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akimsikiliza Sheha wa Jangombe wakati wa ziara yake katika Jimbo hilo kuangaria athari za Mazingira zinazolikabili Jimbo hilo akiwa katika eneo lililotokea shimo wakati wa mvua za mashika na kuleta athari katika eneo hilo.
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga
Mpina akimsikiliza Sheha wa Jangombe wakati wa ziara yake katika Jimbo
hilo kuangaria athari za Mazingira zinazolikabili Jimbo hilo akiwa
katika eneo lililotokea shimo wakati wa mvua za mashika na kuleta athari
katika eneo hilo.
Mkurugenzi
wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndg Juma
Bakari Alawi akitowa maelezo kuhusiana na hali ya Mazingira katika eneo
la Jangombe ambolo linakumbwa na ujaaji wa maji ya mvua na kujitokeza
kudidimia kwa ardhi ya eneo hilo, wakati wa Ziara ya Naibu Waziri Ofisi
ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina, katika Jimbo
la Jangombe kuangalia Miradi ya Maendeleo inayosimamiwa na Muungano
Zanzibar.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com
0 comments:
Post a Comment