Pages

Ads 468x60px

Monday, February 1, 2016

Tazama walicho kifanya watumishi wa mahakama mbeya katika sherehe za wiki ya sheria

ABASSI KANDORO KUWASHUKIA MAWAKILI WA KUJITEGEMEA AWATAKA KUSHUSHA GHARAMA ZA KESI

Hayo amebaini alipokua akizidua sherehe za wiki ya sheria nchini iliyofanyika kimkoa kwa kuanzi maandamano katika jengo la ofisi za mahakama kuu zilizopo sokomatola na kuishia katika viwanjwa vya sitendi ya mabasi ya kabwe jijini mbeya

Kandoro ametoa wito huo kwa wasomi hao ili kushusha gharama hizo ILI wananchi wa kipato cha chini waweze kumudu  kupata haki zao na kuepuka kuangukia katika mikono ya matapeli wa mahakama na kuibiwa pesa zao

"Nawachukia sana vishoka wa sheria wamekua wakijfanya wanaijua sana sheria kuwatapeli wananchi kwa kutaka pesa nyingi kwamba hakimu anazitaka pesa kumbe ni uongo na kusababisha kesi zichelewe na wananchi kuwachukia mahakimu bule" amesema Kandoro.

Ameongeza kutoa wito kwa wananchi wa jiji la Mbeya kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho hayo yatakayo dumu kwa siku tatu ambapo mahama itakua ikitoa elimu na msaaada wa kisheria kwa wananchi wenye shida za kisheria.

Kwa upande wake  Noel Chocha jaji mfawidhi mahakama kuu kanda ya Mbeya amesema mahakama hutoa hukumu kwa kuzingatia wadau mbalimbali wakiwepo
Polisi, Takukuru, huduma kwa jamii, mawakili wa serikali na kujitegemea pamoja na watumishi wa magereza hivyo si hakimu pekee anae husika katika kutoa hukumu.

Sherehe hizo zimezinduliwa leo zita dumu kwa muda wa siku tatu ambapo zitaendelea kutoa huduma za elimu na ushaur katika stendi ya kabwa na nanenane na kilele chake kimkoa zitafanyika katika ofisi za mahakama kuu zilizopo sokomatola jiji hapa tarehe 04 feb 2016 kuanzia saa 02:30 asubuhi

Habari na Charles Abraham
JAJI MFAWIDHI MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA NOELI CHOCHA AKISEMA NENO WAKATI WA KUMKARIBISHA MGENI RASMI
              MTENDAJI WA MAHAKAMA MOSES MWIDETE AKISHEREHESHA SHREHE HIZO


                           WATUMISHI WA MAHAKAMA WAKISHIDANA KUCHEZA KWAITO


               BAADHI YA WATUMISHI WA MAHAKAMA WALIOHUDHURIA SHEREHE HIZO
                                                      JAJI DR, MARY CAROLINE LEVIRA
                                                                    JAJI JOYCE NGWALA

















WATUMISHI WA MAHAKAMA MAHAKIMU,MAWAKILI WA SERIKALI NA WAKUJITEGEMEA WALIOSHRIKI SHUGHURI ZA SHEREHE ZA WIKI YA SHERIA NCHINI

SHEREHE ZILIANZA KWA MAANDAMANO KUTOKEA OFISI ZA MAHAKAMA KUU SOKOMATOLA LUELEKEA MWANJELWA KATIKA STENDI YA KABWE





                    SHEREHE ZILIPAMBWA NA KIKUNDI CHA SEREKASI CHA KIHUMBE



0 comments:

Post a Comment