Sehemu
 ya  Barabara ya Morocco kwenda Mwenge ikiwa katika  hatua  ya kutolewa 
tabaka ya udongo wa  chini na kuwekwa tabaka ya udongo mpya kama 
inavyooenekana katika picha leo jijini Dar es Salaam .
Mafundi
  kutoka kampuni ya Ujenzi  ya  ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya 
kutoa udongo wa chini  kwa ajili ya kuweka udongo mpya  ,ambapo ujnzi 
huo unatarajiwa kumalika mapema Mei mwaka huu.
Mafundi
 wakijengea bomba la maji eneo la Makumbusho  kwa kuliwekea zege na 
nondo   ili kulihakikishia  usalama wake wakati wa ujenzi wa barabara ya
 Mwenge-Morocco inayotarajiwa kukamilika mapema mwezi Mei mwaka huu.
Afisa
 Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Bi.Aisha 
Malima akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mchundo (Civil Technician) wa 
Kampuni ya Ujenzi  ya ESTIM ,Bw. Kano Warema  kuhusu maendeleo ya ujenzi
 wa barabara ya Mwenge-Morocco leo jijini Dar es Salaam.
Kipande
 cha Barabara ya Mwenge-Morocco kilicho kamilika kwa kiwango cha lami 
katika eneo la Mwenge-Bamaga kinavyoonekana katika picha . (Picha na 
Lorietha Laurence –Maelezo).
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment