Pages

Ads 468x60px

Monday, April 25, 2016

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ALLY SALUM HAPI akagua Ujenzi wa Barabara ya ALI HASSAN MWINYI

Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akikagua matengenezo ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi.

 Mkuu wa wilaya Kinondoni Ally Salum Hapi wa kwanza kulia hakipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa ujenzi wa barabara ya Ali  Hassani Mwinyi Halipo tembelea leo kuona maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo.

Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akiwa na wafanyakazi wa MS ESTIM CONSTRUCTION CO.LTD.

Mkuu wa wilaya Mhe.Ally Hapi akiongea na msimamizi wa ujenzi.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi kushoto akiwa na meneja wa Tanroad katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi leo tarehe 25 Aprili 2016.

0 comments:

Post a Comment