Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu Luhwavi akisalimiana na Mwenyekiti wa
Kata ya Usagara Mashariki, Ramadhani Makange, alipowasili kwenye Shina
namba kumi, Tawi la Usagara Mashariki mkoani Tanga, kusikiliza kero za
wananchi na wachama wa CCM katika shina hilo leo.
Wanachama
wa CCM Shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wakimshangilia
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipowasili kwenye shina
hilo wilaya ya Tanga mjini, leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwa na Mwenyekiti wa Shina
namba kumi, tawi la CCM la Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini,
Abubakar Manyoka (kulia) na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki
Ramadhani Makange (kushot), alipowasili kwenye shina hilo leo
kusikiliza kero za wanachama akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama
wilaya ya Tanga mjini.
Baadhi
ya wanachama wa shina namba kumi tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya
ya Tanga mjini, wakiwa tayari kumsikiliza naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara,
Rajab Luhwavi.
Mwenyekiti
wa Shina namba kumi, tawi la CCM, Usagara Mashariki, Abubakari Manyoka
akifungua kikao cha tawi hilo, kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara,
Rajab Luhwavi kuzungumza na wanachama wa tawi hilo, lililopo wilaya ya
Tanga Mjini leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki
Ramadhani Makange.
Mwenyekiti
wa shina namba kumi, tawi la CCM, Usagara Mashariki, Abubakar Manyoka,
akimkabidhi taarifa iliyosheheni kero zinazowahusu wanachama wa shina
hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na wanachama wa CCM
shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini
leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki Ramadhani
Makange na kulia ni Mwenyekiti wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM
Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini Abubakar Manyoka.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na wanachama wa CCM
shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini
leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Usagara Mashariki Ramadhani
Makange na kulia ni Mwenyekiti wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM
Usagara Mashariki wilaya ya Tanga Mjini Abubakar Manyoka.
Wanachama
wa shina namba kumi, Tawi la CCM Usagara Mashariki, wakimsikiliza Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, rajab Luhwavi alipozungumza nao kusikiliza
akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika wilaya ya Tanga
Mjini, leo.
Mmoja
wa wanachama wa CCM shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki
wilaya ya Tanga mjini, akitoa dukuduku na kero zinazowakabili wanachama
wa CCM wa shina hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara Rajab Luhwavi
alipozungumza na wanachama wa tawi hilo leo.
Mkuu
wa kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Chama katika Idara ya Itikadi na
Uenezi, Frank Uhahula akieleza namna ya kupata ufumbuzi wa baadhi ya
changamoto ambazo wanachama wa shina namba kumi tawi la CCM Usagara
Mashariki, walimweleza Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi
alipozungumza nao leo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika
wilaya ya Tanga Mjini.
Mkuu
wa kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Chama katika Idara ya Itikadi na
Uenezi, Frank Uhahula akieleza namna ya kupata ufumbuzi wa baadhi ya
changamoto ambazo wanachama wa shina namba kumi tawi la CCM Usagara
Mashariki, walimweleza Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi
alipozungumza nao leo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika
wilaya ya Tanga Mjini.
Diwani
wa Kata ya Usagara Mashariki Carlos Hiza, akimwambia Naibu Katibu Mkuu
wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi kero zinazowakabili wananchi,
alipozungumzana wanachama wa CCM Shina namba kumi, tawi la CCM la
Usagara Mashariki katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa
Chama katika wilaya ya Tanga mjini leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Baa, Rajab Luhwavi akiongozana na baadhi ya
wanachama wa CCM shina namba kumi tawi la CCM Usagara Mashariki, kwenda
kushiriki msiba wa Mama wa mmoja wa wanachama wa CCM anayeishi katika
eneo la shina hilo, Mwalimu Tajiri, baada ya kuzungumza na wanachama wa
CCM wa shina hilo leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akishiriki kubeba jeneza lenye
mwili wa Mama wa mmoja wa wanachama wa CCM shina namba kumu tawi la
Usagara Mashariki wilaya ya Tanga mjini, Mwalimu Tajiri, wakati wa
kwenda mazikoni leo.
Mmoja
wa wanachama wa CCM kutoka shina namba kumi, tawi la CCM Usagara
Mashariki wilaya ya Tanga mjini Mwalimu Tajiri akifarijiwa wakati wa
msafara wa kwenda mazikoni kuzikwa mama yake mzazi leo.
LUHWAVI ATINGA KWA MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA KUWASILISHA KERO ZA WANACHAMA WA SHINA NAMBA KUMI, TAWI LA CCM USAGARA.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akikabirishwa na Mkuu wa mkoa wa
Tanga, Martin Shigella, baada ya kuwasili kwenye Ofisi wa mkuu wa mkoa
huyo, kuwasilisha kero za Wananchi, baada ya kuzungumza na wanachama wa
CCM shina namba kumi, tawi la CCM Usagara Mashariki, akiwa katika ziara
ya kukagua uhai wa Chama wilaya ya Tanga mjini leo.
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella akimpeleka Ofisini kwake, Luhwavi. Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwasili ndani ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha Wagemi
katika Ofsi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga baada ya kuwasili na ujumbe wake
katika ofisi hiyo leo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela.
Mkuu
wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela akifurahi baada ya kukabidhiwa risara
yeneye kero za wananchi na wanachamawa CCM Shina namba kumi, tawi la
CCM Usagara Mashariki, na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi.
LUhwavi akiwa na Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela kabla ya kuondoka.
Luhwavi akiagana na Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela kabla ya kuondoka.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi na ujumbe wake wakiwa katika
picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela kabla ya
kuondoka Tanga, kwenda mkoani Kilimanjaro leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimuaga Mkuu wa mkoa wa
Tanga Martine Shigela kabla ya kuondoka Tanga, kwenda mkoani
Kilimanjaroleo, Picha nyingine za Luhwavi kutembelea shina namba tisa Kitongoji cha Reli Chini wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro leo.
0 comments:
Post a Comment