Pages

Ads 468x60px

Friday, July 29, 2016

MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akimjulia hali, Swalehe Mohamed (mwenye fulana nyeupe) aliyelazwa katika taasisi ya saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake aliyoifanya katika hospitali hiyo leo Ijumaa (Julai 29, 2016).



Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwajulia hali, Said Mohamed (kushoto) na Balitiamo Damian  waliolazwa katika taasisi ya saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake aliyoifanya katika hospitali hiyo leo Ijumaa (Julai 29, 2016).



Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwajulia hali, Isaya Sanga (katikati) na Abasi Bushole  waliolazwa katika taasisi ya saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake aliyoifanya katika hospitali hiyo leo Ijumaa (Julai 29, 2016). Kulia ni Mganga Mkuu wa Taasisi hiyo, Dkt. Damian Msemo.


    Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na ndugu za wagongwa waliolalazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake aliyoifanya katika hospitali hiyo leo Ijumaa (Julai 29, 2016).


    Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika taasisi ya saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake aliyoifanya katika hospitali hiyo leo Ijumaa (Julai 29, 2016).

0 comments:

Post a Comment