Elly Chalalika mkazi wa kata ya Nsoho akichangia Hoja wa kati wa mdaharo
Malisia Sanga akichangia hoja
Diwani wa Ghana Fabiani Sanga akitoa ufafanuzi baadhi ya hoja zilizo ibuka katika mdaharo
Mwanafunzi wa kidato cha Kwanza Ridhiwani Juma akiomba wazazi na walezi kujitolea kujenga mabweni ili kuondokana na adha ya kutembea umbali mlefu kwenda Shuleni
CIV Juvenary Ngaiza mwanahari Rafiki wa Elimu Akisema jambo
Maratibu wa Mdaharo Mwanahabari Rafiki wa Elimu Charles Mwaipopo Akiongoza majadiliano katika mdaharo
Malisia Sanga akichangia hoja
Ester msemwa akichangia hoja |
CIV Tabita Bugali mchokoza mada yenye lengo la kujadili changamoto za Elimu Bora katika shule ya Sekondari Nsoho |
Kaimu Afisa Elimu Sekondari Jiji la Mbeya Mjini Pascal Obeid akiwasilisha mada ya Elimu Bora katika mdaharo |
Mratibu wa Dawati la Jinsia Kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Mary Gumbo akiwasilisha mada ya ukatili wa kinsia kwa watoto katika mdaharo |
Mkuu wa shule Timoti Mwankusye Akitoa Taarifa ya maendeleo Taaluma ya Shule ya Sekondari Nsoho |
Afisa mtendaji wa kata ya Nshoho Erasto Mwankenja |
Diwani wa Ghana Fabiani Sanga akitoa ufafanuzi baadhi ya hoja zilizo ibuka katika mdaharo
Mwenyekiti wa Bodi ya Sule Lutimo Ndagamsu akisisitiza Jambo katika mdaharo |
Mwanafunzi wa kidato cha Kwanza Sekondari ya Nsoho akishiriki kujadili Changamoto Zinazo ikabili shule hiyo |
Maratibu wa Mdaharo Mwanahabari Rafiki wa Elimu Charles Mwaipopo Akiongoza majadiliano katika mdaharo
0 comments:
Post a Comment