Askofu wa
kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la kusini maghari ALINIKISA CHEYO amewataka
wananchi kujitokeza kuhesabiwa katika sensa itakayofanyika Augost/2012
Ametoa Rai
hiyo katika Tamasha lililo andaliwa na chuo kikuu cha theofilo kisanji jijini
mbeya kwa malengo ya kupata kiasi cha 500 milion kwa ajili ya kujenga hoster ya
wasichana chuoni hapo, Ili kuwaepusha na vitendo vinavyoshawishi uwovu wanavyo
kutana navyo wanapokuwa wamejipangia mbali na chuo.
“Ninawaomba
wananchi kujitokeza kuhesabiwa mwaka huu kwakuwa ni swala la kibiblia ni vema
siku ya kuhesabiwa wawepo nyumbani ili serikali ipate hesabu ya wananchi wake
na kupanga maendeleo kwa kulingana na idadi ya watu wake” Amesema cheyo.
Tamsha hilo
lilihudhuliwa na viongozi mbalimbali wa dini na serikali,Pia binafsi na kwaya
zilitumbuiza na kulipamba kama vile AIC SHINYANGA,MBEYA MORAVIANI TOWN
CHOIR(campuny),WITO CHOIR, SOLOMONO MKUBWA,EFRAIMU MWANSASU, BILI KUWASAHAU
MASANJA MKANDAMIZAJI, NAWENGINE WENGI.
Kwaya Maarufu jijini Mbeya (Mbeya Moraviani Town Choir KAMPUNI) ikionyesha Umahili wake katika kumtumikia mungu kwa njia ya nyimbo.
Askofu Cheyo Akisoma risala na kuwaongoza wageni waalikwa kuchangia chuo kikuu Theofilo kisanji
0 comments:
Post a Comment