Hayo yamesemwa na mgombea wa wa nafasi ya Mwenyekiti mkoa wa mbeya ALAN MWAIGAGA maalufu kwa jina la MWAJI alipokua akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni walipomtembelewa nyumbani kwake mara baada ya kurudisha fom ya kuwania nafasi hiyo.
"Ni vema kwa mgombea yoyote anyetaka kluchuku nafasi ya kuwania kukiongoza chama cha mapinduzi ccm mkoa wa mbeya kwanza akipende kwa dhati na kuwa na nia ya kukijenga sana katika wakati huu wa vyama vingi vya siasa, kiongozi yoyote mzuri lazima ajue kipaumbela na changamoto za cha chama chake" alisema MWAIGAGA
Hata hivtyo alisema atakapopata nafasi ya kukiongoza chama hicho atautumia muda wake mwingi kuwa na wanawananchi na na pia kuwajari vijana ambao ndiyo nguvu kazi nya taifa lolote,
Akatoa wito kwa viongozi wangine kuacha kasumba ya kukaa katika maofisi yao na kufaidi hewa za viyoyozi maofisini mwao hivyo waende waliko wananchi ndipo watajua mahitaji ya wanawaongoza
mwisho aliwaomba wananchama wote kumuunga mkono na kumcgua yeye kukiongoza cha hicho alichokitumikia kwa muda mlefu kwa uaminifu pia hata kwa wagombea wenza kuwa kitu kimoja hata kama watashindwa
ALAN MWAIGAGA (MWAJI) Akiongea na waandishi wa Habari nyumbani kwake
Waandishi wa habari waliomtembelea mgombea mwenyekiti Mkoa wa Mbeya kupitia chama cha mapinduzi (ccm) ALAN MWAIGAGA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment