NI KATIKA IBAADA ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA MORAVIANI
USHIRIKA WA MBEYA MJINI
ASKOFU KIONGOZI WA KANISA LA MORAVIANI TANZANIA ALINIKISA
CHEYO AMESEMA KACHAGUA FUNGU LILILO JEMA AMPOKEA NA KUMBATIZA
ASKOFU CHEYO MARA BAADA YA KUMBATIZA AKIMKABIDHI KITABU FREDY JEREMIA CHA TARATIBU ZA IBAADA ZA KIMORAVIA MAARUFU KAMA LITURUGIA
0 comments:
Post a Comment