Ametoa pesa
hizo katika ibaada ya kumshukuru mungu iliyofanyika jumatatu ya pasaka kijijini kwao huko Tukuyu
AMOSI KASUSA AKITOA MEELEZO YA LENGO LA IBAADA YA KUMSHUKURU MUNGU BAADA YA KIFO CHA BABA YAO
KASUSA AKIWATAMBULISHA NDUGU NA JAMAA KATIKA IBAADA HIYO
AMOSI AKIWATAMBULISDA MAMA ZAKE ALIYE KUIA NI MKE MKUBWA WA BABA YAKE NA KUSHOTO NI MKE MDOGO MAMA ZAKE
MAMA MZAZI WA AMOSI KASUSA
MAZINGILA YA NYUMBANI KWAO HUKO KIJIJINI NSYASYA MASOKO TUKUYU
MBEYA MORANIANI TOWN CHOIR WAKISHANGILIA BAADA YA KUPEWA KITITA CHA PESA NA AMOSI
MC AGGREY KANDONGA AKIONGE JAMBO |
MCHUNGAJI WA KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA NSYASYA AKISHUKURU KWA KUPEWA PESA NA AMOS KASUSA |
MWAKAMU MWANYEKITI WA MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR ELIAH MWANDIMA AKISHUKURU KWA PESA WALIZOPEWANA AMOSI KASUSA
PICHA YA PAMOJA KATI YA FAMILIA YA AMOSI KASUSA NA MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR
0 comments:
Post a Comment