Pages

Ads 468x60px

Friday, June 6, 2014

Maandlizi ya mpambano wa kumpata miss Mbeya wakamilika

 Warembo wote wakiwa katika Hali ya ushindani kazi kubwa kwa majaji wa leo kumpata mmoja wapo kuwakilisha taji la Mbeya

Inaletwa kwenu na:

                                           Bomba Entertainment,

Huu ndio uwanja utakaotumika katika mtanange wa kumpata Miss Mbeya jioni ya leo uliopo maeneo ya City Pub jijini Hapa
Mkufunzi wa Mamiss Hao Miss Mbeya 2009 Bi Sharifa akiwa katika poz la furaha baada ya kuwapika wakapikika na leo itakuwa patashika kasolo nguo kuchanika














Hawa ndiyo mamiss  wetu jioni ya leo katika ukumbi wa City Pub watakao menyana na kati yao kupatika wa kuwakilisha taji la Miss Mbeya 2014

0 comments:

Post a Comment