Pages

Ads 468x60px

Friday, June 6, 2014

Timu ya Mbeya City Yaula


Yalamba ufadhili wa Miloni 360 Toka kampuni ya Binslum Tyres Co, Lmt

Katibu wa Mbeya City  Mr Kimbe akiongena mbele ya mfadhili, viongozi wa jiji na  wandishi wa Habari katika ukumbi wa jiji
                                 Kaimu mkurugenzi wa jiji Dr Lazaro akiongea na waandishi wa habari


Kaimu mkurugenzi wa Kampuni ya Binslum Tyres co, lmt Mohmed Binslum aksoma hotuba yake kabla ya kutiliana saini na mwanasheria wa Mbeya City




                    Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiendelea kutimiza majikumu yao katika ukumbi huoa








Fuatilia Habari picha jinsi Tendo zima lilivyokwenda katika kutiliana sini kati ya kaimu mkurugenzi wa kampuni ya Binslum na mwanasheria wa timu ya Mbeya City James Berdon Kyando

                             Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiuliza maswali baada yakutiliana saini




Jinsi muonekano wa jezi ya mbeya City utakavyokua ukionekana hapa ni Kaimu mkurugenzi wa Halmahauri ya Jiji Dr Lazoro na kaimu mkurugenzi wa kampuni ya Binslum Mohamed Binslum

Waandishi wa wakiwa nje ya ukumbi kabla ya kuingia kushuhudia kutiliana saini mataba wa Mbeya City

0 comments:

Post a Comment