Pages

Ads 468x60px

Monday, June 9, 2014

Ushirika wa Tabata wafungwa na maaskofu 3

Ni katika migogoro inayoendelea kuligawa kanisa la Moravian Tanzania
 Barua ya Tamko la maaskofu juu ya mgogoro wa kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la Misheni Mashariki na Zanzibar
 Maasikofu Dr Lusekelo Bimege Mwakafyila, Dr Isaac Nicodemu na Conrad Nduvumal wakiwa katika ibaada ya Jumapili hii 08/jun katika ushirika wa Kinondoni

0 comments:

Post a Comment