Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 1, 2014

Mbeya Moraviani Town choir watembelea Matema

Ni kwa lengo la kufanya mapumziko ya mwisho wa wiki lakini pia kuhamasisha utalii wa ndani
Wafanya mkutano wa kupanga mpango mkakati wa kimaendeleo kwa mwaka 2014-2015


                     Baadhi ya vijana wakijipanga tayali kwakuanza safari ya kwenda matema

 Kikosi kikiwasili katika ziwa kisiba kilichopo masoko ambapo vijana wapata nafasi ya kuogelea na kupata chakula cha mchana



                                              Baadhi yao wakiandaa chakula cha mchana






                                         Vijana wakipata chakula cha mchana hapo ziwani


                                                Baadae walipata nafasi ya kuogelea zawani
                                                      Vijana wakiwasili matema






  Baada ya kuwesili matema shughuli za kujenga mahema na kuaandaa chakula cha usiku zinaendelea











          Mkutano unaendelea na chakula cha jioni pembeni mwa fukwe za ziwa nyasa (Matema)


                                                    Usiku umefika wameingia kulala




       Asubuhi kumekucha tayali wakipata kifungua kinywa na kisha kuanza ratiba ya siku inayo fuata

0 comments:

Post a Comment