Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 26, 2015

Breaking News:- Mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi majengo amekutwa amekufa ndani ya shimo la maji machafu lililopo mita chache na nyumba yao.



baadhi ya mashuhuda wagubikwa na utata wakifo chake baada ya kumkuta akiwa amefungwa kamba mguuni mwake na mikwaruzo usoni  pia akiwa hana nguo  za ndani.


 Mwili wa mwananafunzi muda mchache baada ya kutoa kutoka katika shimo la maji machafu
                        Shimo la maji taka ambalo umekutwa mwali wa mwanafunzi 

Mama mzazi wa mwanafunzi akiwa ameshikiliwa akilia kwa uchungu baada ya polisi kufika eneo la tukio na kuuchukua mwili wa mwananfunzi.


Jeshi la polisi walifika eneo la tukio na kuuchukua mwili wa mwanafunzi kisha kuondoka nae kwa uchunguzi zaidi kwahabari zaidi  juu ya tukio hili fuatilia katika ukurasa huu.

0 comments:

Post a Comment