Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana
walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia
wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo
polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya
luwadhibiti na risasi. PICHA ZOTE KWA MSAADA WA
http://jijiletublog.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment